Simamia Biashara Yako
Popote Ulipo
Mfumo wa biashara uliotengenezwa kwa mazingira ya Tanzania. Dhibiti mauzo, stoo, matumizi, madeni na faida kupitia simu au kompyuta.
"Biashara Yako, Faida Yako"
Kituo cha Biashara
Taarifa za biashara kwa wakati halisi.
Mapato Yote
TSh 3,860,606
Faida Halisi
TSh 760,094
Miamala
15
Fanya Kazi Popote
Taarifa zako zote sehemu moja—kwenye kompyuta, simu na duka lako la mtandaoni.
Mfumo wa Kompyuta
- Dashibodi ya stoo, mauzo, wafanyakazi na uhasibu
- Ripoti za mapato, matumizi na faida
- Watumiaji na matawi mengi
Inafaa kwa: Ofisi, ripoti, uhasibu na mishahara
Programu ya Simu
- Uza haraka na sasisha stoo papo hapo
- Arifa za mauzo na bidhaa zinapokaribia kuisha
- Endelea kufanya kazi hata mtandao ukiwa hafifu
Inafaa kwa: Dukani, mauzo ya nje na usimamizi ukiwa safarini
Duka la Mtandaoni
- Wateja waagize bidhaa moja kwa moja
- Bei na stoo vinasasishwa kutoka Faida365
- Pokea malipo ya simu
Inafaa kwa: Kuuza mtandaoni na kufikia wateja zaidi
Changamoto Zinazokula Faida Yako
Biashara nyingi zinashindwa kukua kutokana na ukosefu wa usimamizi sahihi.
Stock inapotea bila kujua
Wateja wanadaiwa lakini hawalipi
Hujui faida yako halisi
Mishahara na wafanyakazi ni kazi kubwa
Matawi mengi, hakuna mfumo mmoja
Muda mwingi unapotea kwa kazi za mikono
Faida365 Inakusaidia
Mfumo kamili wa kusimamia biashara yako — kutoka stock hadi mishahara, mauzo hadi uzalishaji.
Stoo na Bidhaa
Usimamizi wa Bidhaa
Fuatilia bidhaa zinazoingia na kutoka, pata arifa za stoo ndogo na simamia stoo za matawi.
Sales & POS
Mauzo na POS
Fanya mauzo kwa haraka, toa ankara na risiti, kisha fuatilia mauzo ya kila siku.
Wateja na Madeni
Usimamizi wa Wateja
Jua kila mteja anadaiwa kiasi gani, rekodi malipo na fuatilia historia ya manunuzi.
Fedha na Uhasibu
Ripoti za Fedha na Uhasibu
Pata ripoti za faida na hasara, mtiririko wa fedha, matumizi na leja kuu.
Wafanyakazi na Mishahara
Rasilimali Watu na Mishahara
Simamia wafanyakazi, mahudhurio, likizo, mishahara na mikopo sehemu moja.
Ununuzi na Wasambazaji
Ununuzi na Wasambazaji
Tengeneza oda za ununuzi, fuatilia bidhaa ulizonunua na madeni ya wasambazaji.
Uzalishaji
Uzalishaji
Panga malighafi, gharama na hatua za uzalishaji kwa kutumia Bill of Materials (BOM).
Duka la Mtandaoni
Duka la Mtandaoni
Onyesha bidhaa zako mtandaoni na unganisha oda moja kwa moja na stoo na mauzo.
Usimamizi wa Matawi
Usimamizi wa Matawi
Simamia matawi mengi kutoka dashibodi moja na upate ripoti ya kila tawi.
Malipo ya Simu
Malipo ya Simu
Pokea na fuatilia malipo kupitia mitandao inayotumika Tanzania.
VICOBA na Fedha Ndogo
VICOBA na Fedha Ndogo
Simamia vikundi, michango, mikopo na marejesho kwa uwazi.
Matumizi Bila Mtandao
Bila Mtandao
Endelea na kazi muhimu mtandao unapokuwa hafifu na sawazisha taarifa unapopatikana.
Usalama wa Taarifa za Biashara Yako
Faida365 hutumia udhibiti wa ruhusa na teknolojia salama kulinda taarifa zako dhidi ya matumizi yasiyoidhinishwa.
Muunganisho Salama wa HTTPS
Taarifa zinazotumwa kati ya kifaa chako na mfumo zinalindwa.
Uthibitishaji wa Hatua Mbili (2FA)
Ongeza ulinzi wa ziada kwenye akaunti yako.
Taarifa Kwenye Mfumo wa Wingu
Fikia taarifa zako kwa ruhusa kupitia simu au kompyuta.
Ruhusa kwa Kila Mtumiaji
Amua mfanyakazi gani anaweza kuona au kufanya nini.
Ripoti za Kibiashara
Hifadhi kumbukumbu zinazokusaidia kufuatilia mauzo na fedha.
Ufuatiliaji wa Matumizi
Shughuli za watumiaji zinaweza kufuatiliwa kwa uwajibikaji.
Udhibiti Salama
Linda akaunti na ruhusa za watumiaji
Imeundwa kwa Biashara za Tanzania
Fuatilia mauzo, bidhaa zinazoisha na fedha za kila siku bila kutegemea madaftari.
Maduka ya Rejareja
Duka moja au matawi mengi
Simamia oda, stoo, bei tofauti na madeni ya wateja au wasambazaji.
Biashara za Jumla
Wasambazaji na maghala
Rekodi mapato, matumizi, wateja na malipo ili ujue faida halisi ya biashara.
Biashara za Huduma
Saluni, gereji, ushauri na zaidi
Dhibiti malighafi, gharama za uzalishaji, bidhaa zilizokamilika na wafanyakazi.
Biashara za Uzalishaji
Viwanda vidogo na vya kati
Bei Nafuu kwa Kila Biashara
Faida365 inaanzia TZS 25,000 kwa mwezi unapolipia mwaka mzima.
Hakuna ada zilizofichwa. Unalipa kiasi chote cha kipindi ulichochagua mwanzoni.
Lite
Lipa TZS 300,000 kwa mwaka 1
Okoa TZS 120,000
Kwa biashara ndogo inayoanza kuweka kumbukumbu zake kidijitali.
- Mtumiaji 1 · Tawi 1
- Mauzo na POS
- Bidhaa na stoo
- Matumizi
- Ripoti za msingi za biashara
- Simu na kompyuta
Msingi
Lipa TZS 600,000 kwa mwaka 1
Okoa TZS 240,000
Kwa biashara iliyojiimarisha inayofanya kazi eneo moja.
- Hadi watumiaji 3 · Tawi 1
- Yote ya Lite
- Wateja na madai yao
- Manunuzi na wauzaji
- Madeni ya wauzaji
- Ripoti za kina za fedha
- Kutoa taarifa (export)
Biashara
Lipa TZS 1,800,000 kwa mwaka 1
Okoa TZS 720,000
Kwa biashara inayokua yenye matawi zaidi ya moja.
- Hadi watumiaji 10 · hadi matawi 3
- Yote ya Msingi
- Usimamizi wa matawi
- Ripoti za matawi yote pamoja
- Duka la mtandaoni
- Uhasibu wa kina
- Msaada wa kipaumbele
Unahitaji matawi au watumiaji zaidi? Wasiliana nasi kwa mpango maalumu.
Wasiliana NasiLipa kwa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, au Benki
Jaribu Faida365 kwa siku 14 bila malipo. Hakuna malipo ya kuanza na hakuna makato ya moja kwa moja. Baada ya majaribio, chagua malipo ya mwezi 1, miezi 3, miezi 6 au mwaka 1.
Hatua 3 Tu
Anza kutumia Faida365 kwa hatua rahisi.
Hatua 1: Jisajili
Fungua akaunti yako kupitia simu au kompyuta.
Hatua 2: Weka Bidhaa
Ingiza bidhaa, bei na idadi iliyopo dukani au stoo.
Hatua 3: Anza Kuuza
Rekodi mauzo na uone stoo, matumizi na faida zikisasishwa.
Pata App
Sasa
Fungua Faida365 kwenye simu au kompyuta yako na uanze kusimamia biashara yako ukiwa popote. Kila kitu kinasawazishwa papo hapo.
Fungua moja kwa moja: app.faida365.com

Skani kufungua
Inafanya kazi kwenye kifaa chochote
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Pata majibu ya haraka kwa maswali yanayoulizwa mara nyingi.
Uko Tayari Kudhibiti
Biashara Yako?
Acha kutegemea madaftari na makadirio. Anza kuona mauzo, stoo, madeni na faida ya biashara yako sehemu moja.